Skip to main content

Posts

DAWA ZA KUEPUKA KAMA UNA KISUKARI

Dawa gani nisitumie kama nina Kisukari? Katika sayansi ya dawa kuna kitu kinaitwa muingiliano (drug interaction), hii inaweza kuwa muingiliano kati ya dawa na dawa, muingiliano kati ya dawa na ugonjwa, au muingiliano kati ya dawa na chakula.  Katika makala hii tutaangazia muingiliano wa dawa na ugonjwa wa kisukari pia muingiliano wa baadhi ya dawa na dawa za kisukari, kuna dawa ambazo zinaweza kusababisha sukari ya mwili kupanda, au dawa ambazo zinaweza kuzuia dawa zako za kisukari zisifanye kazi yake vizuri.  Kisukari ni nini? Kisukari ni hali ambayo husababisha kiwango cha sukari katika damu kuwa juu isivyo kawaida. Kulingana na sababu zinazoweza kusababisha hali hii, kuna aina mbalimbali za kisukari: Kisukari Aina ya 1 (Type 1 Diabetes) Hii ni hali ambapo mwili hauwezi kuzalisha insulini kabisa. Hii ni kwa sababu seli za kongosho (pancreas) zinashambuliwa na mfumo wa kinga wa mwili na kuharibiwa. Hali hii inaweza kuwa ya kurithi na mara nyingi huanza utotoni au ujana, lakin...

SEX IS THE MIND GAME

Understanding the impacts of Stress, Depression and Self-confidence on Sexual Health. Sex is the byproduct of great connection and intimacy, not the replacement for or the source of.  Sexual chemistry and attraction is based on how someone feels more about themselves, rather than their partner. So if you feel you are not as attractive, or you feel you’re not investing yourself in growing, or feeling you’re not becoming more and better, it's unlikely you’re going to want to share your body, mind, emotions and heart with anyone else in the most physical and intimate way which is sex. STRESS Stress is the natural human response that prompts us to address challenges and threats in our lives, a new job for example, or a new relationship, a difficult task you've been given, etc. So a little bit of stress is good, it helps us perform our daily activities.  Too much stress on the other hand, it doesn't do us any good, it can cause physical and mental health problems, one of them is...

Dawa Zinazo Haribika Mapema baada ya Kufunguliwa | Jinsi ya Kuhifadhi kwa Usahihi

 ZIFAHAMU DAWA ZAKO Matumizi sahihi ya dawa si kufuata tu ushauri wa mbili mara tatu! Baadhi ya dawa zina muda maalumu wa kutumika baada ya kuwa zimefunguliwa, hasa dawa zilizoko kwenye mfumo wa maji. Katika makala hii, tutaangazia muda sahihi dawa zinaweza kutumika bila kuleta shida kiafya na jinsi ya kuhifadhi ili kudumisha ufanisi na ubora.  Poda za kuchanganya: Zitumike ndani ya siku 7 tu! Dawa zilizotengenezwa kwa mfumo wa poda, mfano antibiotiki: amoxicillin, ampiclox, n.k. ukisha zichanganya na maji zinaweza kutumika ndani ya siku saba pekee. Baada ya siku saba uwezo wa dawa hizi kufanya kazi hupungua.  Baadhi ya dawa zina maelekezo ya kutunzwa kwenye jokofu (fridge), hivyo soma maelekezo kwenye boksi ama karatasi ya maelezo iliyo ndani ya boksi, ama muulize mtaalamu wa afya jinsi gani ya kuhifadhi dawa zako.  MUHIMU: Hakikisha unafunga vizuri chupa baada ya kila matumizi ili kuepuka kuingiza hewa na vijidudu.  Dawa za maji (syrup): Zitumike ndani ya siku...

Siri ya Afya Bora: Njia Nne Kuu za Kula Vizuri

Jinsi ya Kuboresha Lishe Yako "Usile kitu ambacho bibi yako asingeweza kutambua kama chakula. Kuna vitu vingi vinavyo fanana na chakula kwenye supermarkets ambavyo watangulizi wako wasingevitambua kama chakula... epuka vitu hivi." Michael Pollan Lishe Bora ni nini? Inakulinda dhidi ya magonjwa hatari yasiyo ya kuambukiza, kama vile ugonjwa wa moyo, kisukari na saratani. Kula vyakula vyenye kiasi kidogo cha chumvi, sukari na mafuta yatokanayo na wanyama  ni muhimu kwa afya yako.  Lishe bora hujumuisha mchanganyiko wa vyakula tofauti kama vile:  Vyakula vya nafaka (mahindi, ngano, mchele au shayiri) au mizizi yenye wanga (mihogo, viazi, au viazi vitamu) Mbegu jamii ya kunde (maharage, dengu, n.k.) Matunda na mboga za majani Vyakula kutoka kwa wanyama (nyama, samaki, maziwa na mayai) Kufahamu tu ni vyakula gani unapaswa kula haitoshi! Ratiba ya kula na chanzo cha vyakula vina umuhimu mkubwa katika afya yako, katika makala haya tutazungumzia vyakula gani ule, muda gani na kwa...

What You Need to Know about VAGINAL DRYNESS

Vaginal Dryness: Causes, Symptoms, Effects, and How to Manage Vaginal dryness is a condition that affects many women but is often not openly discussed. It is important to understand this condition to know how to prevent and treat it, which will help improve vaginal health and overall quality of life. Definition of Vaginal Dryness Vaginal dryness is a condition where the vagina does not produce enough lubrication to ensure moisture and lubricate the vaginal walls. This can cause discomfort, pain, and difficulties during sexual intercourse. Causes and Symptoms of Vaginal Dryness There are many reasons that can cause vaginal dryness. Some of the main causes include: Decrease in Estrogen Hormone: This is the main cause, especially for women in menopause or those who have undergone ovary removal surgery. Use of Medications: Some medications, especially antihistamines (allergy medications) such as piriton, loratadine, etc., and blood pressure medications (such as diuretics and beta blocker...

Kudumisha pH ya Ukeni: Siri ya Afya ya Wanawake

  Jifunze kuhusu pH ya Uke: Jinsi ya Kudumisha Uwiano wa Afya na Kuepuka Maambukizi Afya ya uke ni jambo muhimu kwa ustawi wa jumla wa mwanamke. Moja ya vipengele muhimu katika kudumisha afya ya uke ni uwiano sahihi wa pH. pH ya uke inaweza kuathiriwa na mambo mengi na ikibadilika, inaweza kusababisha matatizo kama fangasi na maambukizi ya njia ya mkojo (UTI). Katika blogu hii, tutachunguza kwa undani pH ya uke, sababu za pH kubadilika, madhara ya kuwa na pH kubwa au ndogo, na jinsi ya kudumisha uwiano mzuri wa pH kupitia vyakula asilia na probiotics . pH ya Uke ni nini? pH ya uke inapaswa kuwa kati ya 4.0 na 4.5 ila inaweza kuwa juu kidogo ya  4.5 kulingana na viwango vya National Library of Medicine , USA, ambayo ni kidogo asidi. Uwiano huu wa asidi unasaidia kuzuia ukuaji wa bakteria na fangasi hatarishi. Ikiwa pH ya uke ni kubwa au ndogo, inaweza kuathiri afya ya uke.  Sababu za pH ya Uke Kubadilika Matumizi ya Antibiotiki: Antibiotiki zinaweza kuua bakteria wazuri a...

Lishe Bora kwa Akina Mama: Kabla na Baada ya Ujauzito

Chakula Muhimu kwa Wanawake Wanaotaka Kuwa Wamama, Wajawazito na Wanaonyonyesha Lishe bora ni muhimu sana kwa wanawake wanaotaka kuwa wamama, wajawazito, na wanaonyonyesha. Vyakula asili vinaweza kusaidia sana katika kuhakikisha wanawake wanapata virutubisho wanavyohitaji kwa afya bora na ukuaji wa mtoto. Hapa kuna baadhi ya vyakula muhimu, virutubisho vinavyotoa, umuhimu wake, na kiasi kinachohitajika kwa siku. 1. Mbogamboga za majani (spinachi, Brocoli, Kale) Virutubisho: Asidi ya foliki, madini chuma, Calcium, vitamini A, vitamini C Umuhimu: Asidi ya Foliki: Muhimu kwa ajili ya ukuaji wa tishu na maendeleo ya ubongo wa mtoto. Madini Chuma: Husaidia katika kutengeneza damu na kuzuia upungufu wa damu. Calcium: Muhimu kwa mifupa na meno imara. Vitamini A na C: Husaidia katika kuboresha mfumo wa kinga na afya ya ngozi. Kiasi:  Gramu 90 - 120 kwa siku. 2. Karanga na Mbegu (maboga, ufuta, alizeti, chia,lin) Virutubisho: Omega-3 fatty acids, protini, vitamini E, magnesiamu Umuhim...