Skip to main content

Posts

Tunda: Pipi Asilia

Kwa Nini Watoto Wapende Matunda Badala ya Vitamu vya Kiwandani? Watoto wengi hupenda vitu vitamu kama pipi na biskuti, lakini je, unajua jinsi unavyoweza kuwafanya wapende matunda zaidi?  Ni rahisi kuelewa kwa nini vitamu hivi vina radha nzuri na mara nyingi huonekana kuvutia. Lakini je, unajua jinsi vitamu hivi vinavyoweza kuathiri afya ya mtoto wako kwa muda mrefu?  Badala yake, matunda yanaweza kuwa chaguo lako namba moja. "pipi za asili" zenye afya!  Madhara ya Vitamu vya Kiwandani Vitamu vya kiwandani vina changamoto nyingi ambazo hatuwezi kuzipuuza:  Sukari nyingi : Sukari inayoongezwa kwenye pipi na soda inaweza kusababisha kuoza kwa meno , uzito kupita kiasi , na matatizo ya muda mrefu ya kisukari .  Kalori tupu : Vitamu hivi havina virutubisho muhimu, badala yake vinatoa nishati isiyo na faida yoyote mwilini. Hii husababisha watoto kupata nguvu ya muda mfupi ikifuatiwa na uchovu, hali inayoweza kuathiri umakini wao.  Hudhoofisha kinga ya mwili : Su...

UKWELI KUHUSU P2

p2 ni nini?  " Morning pills" ama " p2"  kama zinavyofahamika na watu wengi mtaani, ni dawa za dharura zinazotumika kuzuia mimba. p2 zina homoni inayoitwa "levenogesterol" ambayo hufanya kazi ya kuzuia mimba kwa njia kuu tatu:  Huzuia yai kutolewa (Ovulation) Huzuia mbegu ya kiume kukutana na yai (Fertilization) Huzuia yai lililotungwa kujishikiza kwenye mji wa uzazi (Implantation)  Dawa hizi ni kwa ajili ya dharura tu, na hufanya kazi ndani ya masaa 72 baada ya kufanya tendo ka ndoa bila kinga, ufanisi wake unaweza kufika hadi asilimia 95 ikiwa zitatumika mapema.  Mara ngapi nitumie p2? Ni salama kutumia p2 mara moja katika mzunguko mmoja wa hedhi , matumizi ya mara nyingi ndani ya mzunguko mmoja wa hedhi yanaweza kusababisha madhara makubwa zaidi ya homoni na mzunguko wa hedhi.  Matumizi ya mara kwa mara yanaweza kusababisha mzunguko wa hedhi usio tabirika, kutokuwepo kwa hedhi kwa muda mrefu, au kutokwa na damu isiyo kawaida (spotting).  p2 zinabeba...

DAWA ZA KUEPUKA KAMA UNA KISUKARI

Dawa gani nisitumie kama nina Kisukari? Katika sayansi ya dawa kuna kitu kinaitwa muingiliano (drug interaction), hii inaweza kuwa muingiliano kati ya dawa na dawa, muingiliano kati ya dawa na ugonjwa, au muingiliano kati ya dawa na chakula.  Katika makala hii tutaangazia muingiliano wa dawa na ugonjwa wa kisukari pia muingiliano wa baadhi ya dawa na dawa za kisukari, kuna dawa ambazo zinaweza kusababisha sukari ya mwili kupanda, au dawa ambazo zinaweza kuzuia dawa zako za kisukari zisifanye kazi yake vizuri.  Kisukari ni nini? Kisukari ni hali ambayo husababisha kiwango cha sukari katika damu kuwa juu isivyo kawaida. Kulingana na sababu zinazoweza kusababisha hali hii, kuna aina mbalimbali za kisukari: Kisukari Aina ya 1 (Type 1 Diabetes) Hii ni hali ambapo mwili hauwezi kuzalisha insulini kabisa. Hii ni kwa sababu seli za kongosho (pancreas) zinashambuliwa na mfumo wa kinga wa mwili na kuharibiwa. Hali hii inaweza kuwa ya kurithi na mara nyingi huanza utotoni au ujana, lakin...

SEX IS THE MIND GAME

Understanding the impacts of Stress, Depression and Self-confidence on Sexual Health. Sex is the byproduct of great connection and intimacy, not the replacement for or the source of.  Sexual chemistry and attraction is based on how someone feels more about themselves, rather than their partner. So if you feel you are not as attractive, or you feel you’re not investing yourself in growing, or feeling you’re not becoming more and better, it's unlikely you’re going to want to share your body, mind, emotions and heart with anyone else in the most physical and intimate way which is sex. STRESS Stress is the natural human response that prompts us to address challenges and threats in our lives, a new job for example, or a new relationship, a difficult task you've been given, etc. So a little bit of stress is good, it helps us perform our daily activities.  Too much stress on the other hand, it doesn't do us any good, it can cause physical and mental health problems, one of them is...

Dawa Zinazo Haribika Mapema baada ya Kufunguliwa | Jinsi ya Kuhifadhi kwa Usahihi

 ZIFAHAMU DAWA ZAKO Matumizi sahihi ya dawa si kufuata tu ushauri wa mbili mara tatu! Baadhi ya dawa zina muda maalumu wa kutumika baada ya kuwa zimefunguliwa, hasa dawa zilizoko kwenye mfumo wa maji. Katika makala hii, tutaangazia muda sahihi dawa zinaweza kutumika bila kuleta shida kiafya na jinsi ya kuhifadhi ili kudumisha ufanisi na ubora.  Poda za kuchanganya: Zitumike ndani ya siku 7 tu! Dawa zilizotengenezwa kwa mfumo wa poda, mfano antibiotiki: amoxicillin, ampiclox, n.k. ukisha zichanganya na maji zinaweza kutumika ndani ya siku saba pekee. Baada ya siku saba uwezo wa dawa hizi kufanya kazi hupungua.  Baadhi ya dawa zina maelekezo ya kutunzwa kwenye jokofu (fridge), hivyo soma maelekezo kwenye boksi ama karatasi ya maelezo iliyo ndani ya boksi, ama muulize mtaalamu wa afya jinsi gani ya kuhifadhi dawa zako.  MUHIMU: Hakikisha unafunga vizuri chupa baada ya kila matumizi ili kuepuka kuingiza hewa na vijidudu.  Dawa za maji (syrup): Zitumike ndani ya siku...

Siri ya Afya Bora: Njia Nne Kuu za Kula Vizuri

Jinsi ya Kuboresha Lishe Yako "Usile kitu ambacho bibi yako asingeweza kutambua kama chakula. Kuna vitu vingi vinavyo fanana na chakula kwenye supermarkets ambavyo watangulizi wako wasingevitambua kama chakula... epuka vitu hivi." Michael Pollan Lishe Bora ni nini? Inakulinda dhidi ya magonjwa hatari yasiyo ya kuambukiza, kama vile ugonjwa wa moyo, kisukari na saratani. Kula vyakula vyenye kiasi kidogo cha chumvi, sukari na mafuta yatokanayo na wanyama  ni muhimu kwa afya yako.  Lishe bora hujumuisha mchanganyiko wa vyakula tofauti kama vile:  Vyakula vya nafaka (mahindi, ngano, mchele au shayiri) au mizizi yenye wanga (mihogo, viazi, au viazi vitamu) Mbegu jamii ya kunde (maharage, dengu, n.k.) Matunda na mboga za majani Vyakula kutoka kwa wanyama (nyama, samaki, maziwa na mayai) Kufahamu tu ni vyakula gani unapaswa kula haitoshi! Ratiba ya kula na chanzo cha vyakula vina umuhimu mkubwa katika afya yako, katika makala haya tutazungumzia vyakula gani ule, muda gani na kwa...

What You Need to Know about VAGINAL DRYNESS

Vaginal Dryness: Causes, Symptoms, Effects, and How to Manage Vaginal dryness is a condition that affects many women but is often not openly discussed. It is important to understand this condition to know how to prevent and treat it, which will help improve vaginal health and overall quality of life. Definition of Vaginal Dryness Vaginal dryness is a condition where the vagina does not produce enough lubrication to ensure moisture and lubricate the vaginal walls. This can cause discomfort, pain, and difficulties during sexual intercourse. Causes and Symptoms of Vaginal Dryness There are many reasons that can cause vaginal dryness. Some of the main causes include: Decrease in Estrogen Hormone: This is the main cause, especially for women in menopause or those who have undergone ovary removal surgery. Use of Medications: Some medications, especially antihistamines (allergy medications) such as piriton, loratadine, etc., and blood pressure medications (such as diuretics and beta blocker...